HAMIA REFERRAL PROGRAM

Uza kwa kutumia connections zako.

Waeleze ndugu, jamaa na rafiki zako kuhusu Hamia Digital Cards. Wape link yako ya referral na upate 5%–10% commission kila mteja wako anapolipia huduma.

Mteja akifurahia taarifa ya commission ya Hamia Digital
67+Watu tayari kwenye referral system
Tsh 4,000,000+Kiasi kilicholipwa kama commission
5%–10%Commission ya referral
RAHISI KUANZA

Jinsi Hamia Referral inavyofanya kazi

Jiunge, pata referral code yako, share link yako na anza kuleta wateja.

1

Jiunge

Jaza taarifa zako na upate referral code yako ya kipekee automatically.

2

Wape link yako

Shirikisha ndugu, jamaa na marafiki na connections zako kuhusu Hamia Digital Cards.

3

Pata commission

Upate 5%–10% kwa kila mteja anayelipia huduma kupitia referral yako.

MTANDAO WETU

Mawakala wetu Tanzania nzima

Tunaendelea kujenga mtandao wa referral katika mikoa mbalimbali Tanzania. Jiunge nawe uwe sehemu ya mtandao huu.

Mikoa 26+

Inayofikiwa na mtandao wa Hamia Referral


Kila siku

Mtandao unaendelea kukua

Ramani ya Tanzania yenye mipaka ya mikoa
ANZA SASA

Jiunge na Hamia Referral

Jaza taarifa zako hapa chini kuanza kupata 5%–10% commission.

  • Referral code yako ya kipekee
  • Link yako ya kushirikisha wateja
  • Unaanza kupata 5%–10% commission
  • Kuleta wateja wa Hamia Digital Cards

Jiunge sasa

WASEMAJE MAWAKALA WETU?

Maoni ya referral partners

JM

“Hii ni fursa nzuri sana. Nimepata income ya ziada kwa kupeleka wateja kwenye Hamia Cards.”

Joseph M. — Dar es Salaam
AK

“Nimepata commission mara kadhaa. Mfumo ni rahisi na unaeleweka.”

Asha K. — Arusha
RM

“Nimewashirikisha ndugu na wateja wangu, na naendelea kupata malipo.”

Rashid M. — Mwanza