Jiunge na Hamia Referrals ukiwa mkoa wowote.
+255 749 987 122  |  hello@hamiadigital.co.tz
Home Jifunze zaidi Mawakala wetu Maswali muhimu Hamia Cards LOGIN
HAMIA DIGITAL REFERRALS

INGIZA KIPATO CHA ZIADA KWA KUALIKA NDUGU NA JAMAA.

Waeleze ndugu, jamaa na rafiki zako kuhusu kadi za kidigitali za Hamia Digital uingize kipato cha ziada! Pata 5%–10% ya gharama atakayolipia mteja wako kwetu, utapokea malipo yako ndani ya nusu saa tu pale atakapolipia huduma aliyoichagua.

67+ Mawakala
TZS 4.5M Malipo
8 Mikoa
Mshirika wa Hamia Digital akifurahia commission
↗
5% – 10%

Kamisheni kwa kila mteja anayelipia huduma.

RAHISI KUANZA

Jinsi Hamia Referral inavyofanya kazi

Jiunge, pata referral link yako, washirikishe watu unaowafahamu na anza kupata commission.

1

Jiunge

Jaza taarifa zako na upate referral code yako ya kipekee automatically.

2

Wape link yako

Shirikisha ndugu, jamaa, marafiki na connections zako kuhusu Hamia Digital Cards.

3

Pata commission

Unapata 5%–10% kwa kila mteja anayelipia huduma kupitia referral yako.

MTANDAO WETU

Mawakala wetu Tanzania nzima

Tunaendelea kujenga mtandao wa referral katika mikoa mbalimbali Tanzania. Jiunge nawe uwe sehemu ya mtandao huu.

67+ Mawakala tayari
8 Mikoa inayowakilishwa
5%–10% Commission
24/7 Referral sharing
Ramani ya Tanzania
ANZA SASA

Jiunge na Hamia Referral

Jaza taarifa zako hapa chini kuanza kupata 5%–10% commission.

  • Referral code yako ya kipekee
  • Link yako ya kushirikisha wateja
  • Commission ya 5%–10%
  • Kuleta wateja wa Hamia Cards

Jiunge sasa

MASWALI MUHIMU

Maswali kuhusu Hamia Referral

Referral ni nini? Ni mfumo wa kupata commission kwa kuleta mteja anayelipia huduma kupitia link yako.
Ninapata kiasi gani? Commission ni kati ya 5% na 10% kulingana na mpangilio wa referral wako.
Nitapataje link yangu? Baada ya kujisajili utapewa referral code na link yako ya kipekee.
Mteja anaenda wapi? Mteja anaweza kutumia link yako kuingia Hamia Digital Cards na kuweka oda.
MAWAKALA WETU

Wameonaje uzoefu wao?

JM

“Hii ni fursa nzuri sana. Nimepata income ya ziada kwa kupeleka wateja kwenye Hamia Cards.”

Joseph M. — Dar es Salaam
AK

“Nimepata commission mara kadhaa. Mfumo ni rahisi na unaeleweka.”

Asha K. — Arusha
RM

“Nimewashirikisha ndugu na wateja wangu, na naendelea kupata malipo.”

Rashid M. — Mwanza